Ahbaabur Rasuul ﷺ
Kwa makala, habari/taarifa mbalimbali za kiislamu.
Friday, 18 May 2018
ARSENAL YAWATAKIA WAISLAMU WOTE RAMADHAN NJEMA
›
Klabu ya Arsenal imewatakia waislamu wote Ramadhan njema. Klabu hiyo imerusha picha ya mchezaji Mesut Özil akiomba dua na kuandika ...
Tuesday, 15 May 2018
KAMPUNI YA POMBE YA KIJERUMANI YAWAOMBA RADHI WAISLAMU
›
Kampuni ya uzalishaji pombe ya kijerumani ya Eichbaum imeomba radhi Saudi Arabia pamoja na waislamu wote duniani. Kampuni hiyo imeomba...
Friday, 11 May 2018
UTURUKI YAIAMBIA UFARANSA: QURAN ITALINDWA MPAKA MWISHO WA DUNIA
›
Msemaji wa ikulu ya rais Uturuki Ibrahim Kalın amepeperusha ujumbe katika ukurasa wake wa Twitter akifahamisha kuwa kitabu kitakatifu cha u...
MTU MMOJA AUAWA NA WAWILI WAJERUHIWA VIBAYA MSIKITINI AFRIKA KUSINI
›
Watu waliokuwa na visu wamevamia mskiti unaopatikana KwaZulu Natal na kuwajeruhi watu wawili na kummalizia maisha mtu mmoja katika shambuli...
Friday, 30 March 2018
WAISLAMU WA UHISPANIA WAPATA MSAADA WA NAKALA ZA QURANI
›
Kitengo kinachohusika na masuala ya dini cha Uturuki Diyanet kimetoa msaada wa Qurani kwa waislamu nchini Uhispania. Diyanet imetoa kop...
Friday, 23 March 2018
ALGERIA KUTUMA MAIMAMU 150 KUONGOZA IBADA NCHI ZA ULAYA MWEZI WA RAMADHANI
›
Serikali ya Algeria imesema kuwa itatuma maimamu 150 nchini Ufaransa kwa ajili ya kuongoza ibada katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Taarif...
Wednesday, 14 March 2018
NAIBU MUDIR WA SHAMSUL MAARIF AFARIKI DUNIA
›
Naib Mudir wa Mahdi(chuo kikuu) Shamsul Maarif ya jijini Tanga Sheikh Rashid bakar Al Burhani amefariki leo jioni katika Hospitali moja bina...
Tuesday, 20 February 2018
MKE WA SHEIKH ABOUD ROGO AHUKUMIWA MIAKA 1O
›
Mahakama imemuhukumu miaka 10 hatia Haniya Said Saggar kuratibu shambulio la bomu la petroli lililotekelezwa dhidi ya kituo cha polisi jijin...
Saturday, 13 January 2018
JINA LA MUHAMMAD LAPEWA KWA WINGI WATOTO WALIOZALIWA 2017 AUSTRALIA
›
Jina la Muhammad limeonekana kuwa katika majina mengi yanayotolewa kwa watoto waliozaliwa mwaka 2017 katika mji mkuu wa Australia, Vienna ...
Monday, 18 December 2017
BAKWATA YAKANUSHA KUWEPO NJAMA ZA KUMUONDOA MUFTI
›
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kupitia kwa msemaji wake Sheikh Khamis Mataka limekanusha kuwepo kwa njama za kumuondoa kiongozi w...
›
Home
View web version