![]() |
Moja ya maeneo ya kitalii mjini Vienna |
Kwa mujibu wa habari katika mji wa Vienna mwaka jana watoto 175 wamepewa Alexander,161 Maximillian na 159 Muhammad.
David (143) and Filip (137) yameshika nafasi ya nne na ya tano.
Katika habari imeonekan kuwa kwa wasichana, Sophia (183), Sara (173) na Anna (142).
Historia ya jina la Muhammad lilianza baada ya kuzaliwa Mtume (Muhammadﷺ) wa viumbe wote ulimwenguni karne 14 zilizopit katika mji wa Makkah.