Saturday, 4 November 2017

ZIFAHAMU DALILI ZA KUMJUA MTU MWEMA

Kumjua mtu kwamba ni mwema ama la si jambo rahisi kama wengi wanavyodhani.


Ni jambo linalotaka elimu hususani ya dini. Kupitia Darsa la Ustaadh Yusuf Kidago utaweza kujifunza na kujua dalili za mtu mwema.