![]() |
| Gertrude Mutharika akisalimiana na viongozi wa kiislamu |
wanawake.
Mgeni rasmi katika Ijtimahi hiyo alikuwa mke wa Rais wa Malawi Gertrude Mutharika ambapo alisema wanawake husaidia sana maendeleo ya nchi.
![]() |
| kinamama wa kiislamu wakiwa katika Ijtimahi |
Aliongeza kusema kuwa, "Nafurahi kwamba uislamu humchukulia mwanamke kama sehemu muhimu na wanawake wanapaswa kujifunza kutoka kwa kila mmoja katika Ijtimahi hii".
![]() |
| Gertrude Mutharika akisalimiana na kina mama wa kiislamu |
Katika Ijtimahi hiyo Mama Mutharika alivaa vazi la heshima kwa mwanamke wa kiislamu la baibui na hijabu.


