Saturday, 1 April 2017

MSIKITI MKUBWA WAFUNGULIWA BISHKEK HUKO KYRGYZSTAN

Msikiti mkubwa umefunguliwa huko mji wa Bishkek nchini Kyrgyzstan leo.
Sherehe za uzinduzi wa msikiti huo zilihudhuriwa na Meya wa mji huo Albek Ibraimov, Mufti wa Kyrgyzstan Maksat Toktomushev, mkuu wa ofisi ya Rais Sapar Isakov na mwenyekiti wa baraza la mamufti la Russia Ravil Gainutdin.

Msikiti huo wenye ukubwa wa Hekta 3.5 unaweza kubeba waumini 10,000 kwa wakati mmoja