Msikiti mmoja katika jimbo la Colorado umeripotiwa kushambuliwa .
Tukio hilo limetambulika kuwa la chuki na uchunguzi tayari umeanzishwa .
Mshambuliaji alionekana akipiga mateke msikiti huo upande wa mlango .
Shirika la uhusiano wa waislamu la Marekani baada ya shambulizi hilo liliomba mamalaka kufuatilia tukio hilo .
