Wednesday, 6 July 2016

PICHA: WAISLAMU BAADA YA SWALA YA EID EL FITR

Jana na leo waislamu duniani kote wamesheherekea sikukuu ya Eid el Fitr baada ya waislamu kumaliza ibada ya Funga ya mwezi wa Ramadhani.

Blogu yako ya Ahbaabur Rasuul inawatakia Kheri na fanaka waislamu wote Duniani.

عيد مبارك Eid Mubarak

كل عام و انتم بخير kullu am wa antum bikhair