Tuesday, 5 July 2016

PICHA: NCHI KADHAA ZILIZOSHEREHEKEA SIKUKUU YA EID EL FITR LEO

Leo baadhi ya nchi kadhaa za duniani zimesherehekea sikukuu ya Eid El Fitr baada ya kukamilisha mfungo Mtukufu wa Mwezi wa Ramadhani.

Picha mbalimbali za waislamu walioingia katika sikukuu ya Eid El Fitr.

Waislamu wa Russia wakiwa katika swala ya Eid El Fitr
Moscow, Russia
Eid al-Fitr ndani ya Msikiti wa Fatih Sultan mjini Istanbul
Eid al-Fitr ndani ya Msikiti wa Fatih Sultan mjini Istanbul
Eid al-Fitr ndani ya Msikiti wa Mevlana mjini Rotterdam, Uholanzi 
Eid al-Fitr, Bishkek, mji mkuu wa Kyrgyzstan
Eid al-Fitr, Bishkek, mji mkuu wa Kyrgyzstan
Mzee akipiga Ftaki kukaribisha Eid El Fitr,  Sarajevo, Bosnia 
Maandalizi Eid El Fitr mjini Kabul, Afghanistan