Kwa makala,
habari/taarifa
mbalimbali za kiislamu.
Sunday, 22 May 2016
PICHA: SHEREHE ZA MAULID YA MTUME MUHAMMAD ﷺ HEDARU
Angalia picha mbalimba za Sherehe kubwa za kuadhimisha mazazi ya mtukufu wa daraja Mtume Muhammad ﷺ zilizofanyika jana Jumamosi katika mji wa Hedaru, wilaya ya Same Mkoani Moshi.
Zafa
Zafa
Zafa inataka kuanza
Zafa
Mudir Wa Shamsul Maarif katikati na Naib wake Kulia. Kushoto Sheikh Kiungiza