Saturday, 16 April 2016

PICHA : KHITMA YA SHEIKH MUHAMMAD BAKAR AL BURHAN LEO TANGA

Khitma ya Al marhumu Sheikh Muhammad Bakar Al- burhan imefanyika leo katika Msikiti wa Mahdi(chuo kikuu) Shamsul Maarif jijini Tanga.

Shughuli hiyo ilihudhuriwa na Masheikh wengi kutoka ndani na nje ya nchi iliongozwa na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir.