Gazeti la Daily Mail limeandika kuwa wabunge Hannah Bardell na Nia Griffith wa Uingereza wamejitangaza hadharani wiki hii kwamba wanafanya maingiliano kinyume na maumbile.
![]() |
| Ben Howlett mbunge shoga wa chama cha Liberal Democrat |
Mbunge wa kwanza kujitangaza hadharani kwamba anajihusisha na vitendo vichafu vya liwati alikuwa Lord Criss Smith katika muongo wa 1980.
![]() |
| Wes Streetin Mbunge shoga wa Labour |
Idadi hiyo inahusisha mashoga wa kiume na wa kike (wasagaji).
Wabunge hao wanatoka vyama vya Labour 14, Conservative 12 na SNP 7

