Hujaji wa kituruki Ali Osman Agat amefariki kwa kupatwa na mshtuko wa moyo katika uwanja wa ndege wa madina (Medina airport) Saudi Arabia baada ya kusubiri ndege zaidi ya masaa 24.
Ali Osman aliyekuwa ya amemaliza ibada Umrah alifariki katika hospitali baada ya kukimbizwa kwa kupatwa na shinikizo la moyo.
Watu zaidi ya 400 walikuwa wanasubiri ndege katika uwanja huo wa ndege wa Madina kutokana na kuchelewa kwa ndege ya Saudi Airlines.
Siku ya Ijumaa, ukungu mnene ulitanda juu ya mji wa Mashhad, Iran na kufungwa uwanja wake na kusababisha ucheleweshaji wa ndege.
