Saturday, 15 July 2017

MUFTI WA JERUSALEM AKAMATWA NA POLISI WA ISRAEL

Polisi wa Israeli wamemtia kizuizini mufti mkuu wa Jerusalem, Sheikh Muhammad Huseyn kufuatia shambulio lililotokea katika msikiti mtukufu wa Masjid Al-Aqsa.
Mtoto wa mufti, Omar Huseyn alieleza kuwa askari wa Israel walimchukua baba yake kwa kutumia silaha na haijulikani alipopelekwa.

Aidha Omar ameeleza kuwa Mufti alikamatwa alipokua anajiandaa kwenda kuwaswalisha Waisrael swala ya Ijumaa.