Saturday, 27 May 2017

MAHAKAMA YAPIGA MARUFUKU SHERIA YA TRUMP DHIDI YA NCHI ZA KIISLAMU

Mahakama moja Virginia Marekani yatangaza kufutilia mbali sheria ya rais Donald Trump inayoweka vikwazo dhidi ya raia wa kiislmu kutoka nchi 6.
Mahakama hiyo ilifahamisha kuwa sheria hiyo haitopitishwa kwa kuwa ni ya kibaguzi dhidi ya waislamu .

Mahakama hiyo imependekeza kuwa na sheria ya haki isiyo ya kibaguzi dhidi ya jamii yoyote ile.