Thursday, 23 February 2017

WANAJESHI WANAWAKE WARUHUSIWA KUVAA HIJABU UTURUKI

Jeshi la Uturuki limetoa ruhusa kwa wanawake wote wanaotaka kuvaa hijabu jeshini.
Wasichana wakiwa wamevaa hijabu katika shule ya jeshi ya
Kuleli military high school huko Istanbul, Uturuki
Mwaka 2013 chama cha AK kilipiga marufuku uvaaji wa hijabu kwa wale wanawake wote waliokuwa wanatumikia jeshi la Uturuki.

Sare za jeshi zimeruhusu wanawake kuvaa hijab ndani ya kofia ya wanajeshi.

Uamuzi huu umefurahisha raia wengi Uturuki.

Uturuki ni kati ya nchi zinazounga mkono waislamu.