Hijja ni miongoni mwa nguzo katika dini ya Kiislamu ambayo imefaradhizishwa kutekelezwa kwa kila mwislamu mwenye uwezo wa kwenda Makka.
Angalia picha za mahujaji kutoka nchi mbalimbali duniani.
![]() |
| Binti kutoka china akiwa na Birika la kuchemshia Chai |
![]() |
| Bibi wa Miaka 76 kutoka nchi ya Turkmenistan |
![]() |
| Mmoja wa mahujaji kutoka wizara ya mambo ya nje ya Ufaransa ambaye amesilimu |
![]() |
| mahuja kutoka nchi ya Sierra leone kushoto na nchi ya Guinea |
![]() |
| Familia ya Kiyemen ikiwa Madina |
![]() |
| Hujaji kutoka bonde la Swat huko Pakistan ambaye ni mtaalamu Ujenzi wa majengo |
![]() |
| Wanatoka Dili huko Indonesia |
![]() |
| Familia ya Kimisri wakiwa Madina |
![]() |
| Kutoka nchi ya Chad ambaye anaamini kupiga picha ni kinyume na sheria za kiislamu, ila alikubali kupiga picha kwa dharura |
![]() |
| Haji kutoka Oman akiokota mawe kwa ajili ya kumpiga Shetani |
![]() |
| Hujaji kutoka india akijipiga Selfie |










