NCHI YA KYRGYZSTAN YAPATA MUFTI MPYA
Baraza kuu la waislamu la nchi ya Kyrgyzstan iliyopo Asia ya kati limemteua Maksat Hajji Toktomushev kuwa mufti mkuu mpya wa nchi ya hiyo.
Toktomushev alikuwa akifanya kazi kama kaimu Mufti tangu mapema Januari kabla ya kuteuliwa rasmi kuwa Mufti mkuu juzi.
 |
| Maksat Hajji Toktomushev |