Monday, 3 February 2014

PICHA: MAPIGANO BAINA YA POLISI NA WAISLAMU, POLISI WALIINGIA NA VIATU MSIKITINI

Watu wawili wanaarifiwa kuwa wameuawa na wengine kadha kujeruhiwa kwenye ghasia katika Masjid Mussa ulioko majengo mjini Mombasa, Kenya.

Polisi walivamia msikiti huo baada ya kupata taarifa kuwa 
kuna kundi la vijana lilikuwa likiendesha mafunzo ya kijeshi msikitini hapo.

Taarifa kamili bonyeza HAPA

polisi wakiwa ndani ya msikiti na viatu
walitanda mitaa yote



waislamu wakimsaidia mwenzao aliyejeruhiwa
majeruhi
kipigo kwanza ,halafu panda karandinga
wakipandishwa katika karandinga
majeruhi