![]() |
| Waumini msikiti wa Kichangani Dar es salaam |
Baadhi ya nchi hizo ni Saudia Arabia, Misri, Pakistani, Afghanistan, Syria, Albania, Bangladeshi, Malaysia, Qatar, Uturuki na Ufaransa. Nchini Uingereza baadhi walisali Eid jana na wengine leo.
![]() |
| Waislamu wakisali Jijini Paris |
![]() |
| Waislamu nchini Pakistan katika mji wa Peshawar |


